• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping asisitiza kushughulikia vizuri uchafuzi wa mazingira

    (GMT+08:00) 2018-05-19 19:27:54

    Mkutano wa uhifadhi wa mazingira ya asili wa China umefanyika tarehe 18 na 19 za mwezi Mei hapa Beijing. Rais Xi Jinping wa China amehudhuria mkutano huo na kutoa hotuba muhimu. Amesisitiza kuwa ni lazima kuunganisha maendeleo ya uchumi na jamii na ujenzi wa ustaarabu wa mazingira ya asili, kuongeza nguvu ya kuhimiza ujenzi wa ustaarabu wa mazingira ya asili, kutatua suala la mazingira ya asili, kushughulikia vizuri uchafuzi wa mazingira, na kuhimiza maendeleo ya ujenzi wa ustaarabu wa mazingira ya asili nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako