• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UGANDA: bajeti ya sasa imepitwa na wakati asema waziri wa zamani wa fedha

    (GMT+08:00) 2018-05-21 19:05:06

    Ajenda ya bajeti ya sasa imepitwa na wakati kwa kuwa inaangali shida Uganda ilipitia miaka 30 iliyopitia, Dkt Ezra Suruma, mshauri mkuu wa serikali na waziri wa zamani wa Fedha, amesema.

    Akizungumza wakati wa Majadiliano ya Sera ya Juu ya kila Mwaka Kampala, Dkt Suruma amesema bajeti ya sasa haisaidi katika ukosefu wa ajira na umasikini.

    Uganda sasa inakabiliana na viwango vikubwa vya ukosefu wa ajira. Angalau zaidi ya asilimia 80 ya vijana hawana kazi. Kwa hiyo, wana mchango mdogo au hakuna kabisa katika maendeleo ya kitaifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako