• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Tanzania: Yanga yaanza kupigania nafasi bora za juu kwenye msimamo

    (GMT+08:00) 2018-05-23 11:00:32
    Baada ya kukosa nafasi ya kushinda ubingwa wa ligi kuu msimu huu, timu ya Yanga imeanza kampeni ya kuhakikisha inawania nafasi bora za juu kwenye msimamo, baada ya kupata ushindi kwenye mechi ya jana ikiwa ni baada ya mechi saba kupita.

    Goli 1-0 la ushindi la Yanga jana kwenye mechi dhidi ya Mbao FC lilifungwa na mchezaji Thabani Kamusoko, na sasa inafikisha pointi 51 na ikiwa nafasi ya tatu nyuma ya Azam yenye 55 na ikiwa nafasi ya pili, na Simba ambayo ni vinara na mabingwa kwa kuwa na pointi 68.

    Yanga imesaliwa na mechi mbili ambazo ni dhidi ya Azam FC na Ruvu Shooting.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako