• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Donald Trump asema mkutano kati yake na Rais wa Korea Kaskazini "bila shaka utakuwepo"

    (GMT+08:00) 2018-05-24 10:02:16

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema mkutano kati yake na Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, "bila shaka utakuwepo". Amesema mkutano huo uliopangwa kufanyika Juni 12 nchini Singapore, unaweza kufanyika, inaweza kuwa tarehe hiyo, lakini itajulikana wiki ijayo.

    Rais Trumo alisema hayo kufuatia kauli yake mapema siku hiyo kuwa tarehe ya mkutano huo inaweza kubadilishwa.

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amesema China inaunga mkono mkutano uliopangwa kufanyika kati ya Rais Donald Trump na Bw. Kim Jong Un. Akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari pamoja na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Mike Pompeo, Bw。 Wang ameitaka Marekani kutumia fursa ya sasa kuleta amani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako