• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya AFDB kufadhili mradi wa kawi wa Lamu

    (GMT+08:00) 2018-05-24 19:41:50

    Kenya inatarajia kufaidika tena kwa usaidizi wa fedha za mradi wa kawi ya mkaa wa Lamu kutoka kwa benki ya AFDB.

    Benki hiyo inasubiriwa kukubali ombi la ya kushiriki kwenye mradi huo kwa usaidizi wa fedha za mradi huo wa megawati elfu 1000.

    Waziri wa fedha Henry Rotich amesema baada ya kumaliza changamoto za kimazingira mradui huo ulioapswa kuanza mwaka 2015 sasa umeidhinishwa kuendelea.

    Mradi huo utagharimu shilingi bilioni 50.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako