• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nyota wa soka wa Brazil anajiandaa kuoa

    (GMT+08:00) 2018-05-25 08:41:18

    Ikiwa ni moja ya habari za vituko kutoka Brazil, aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Brazil na klau ya Barecelona ya Hispania Ronaldinho, anatarajia kufunga ndoa katika majira ya joto mwaka huu baada ya kuwa kapera kwa muda mrefu. Ndoa ya Ronaldinho imekuwa inafuatiliwa baada ya kutangaza kuwa ataoa wanawake wawili kwa mpigo, au kwa maana nyingi anaanza ndoa kwa mtindo wa mitala, hali ambayo imewashangaza wengi hata wale wanaounga mkono ndoa za mitala. Dada wa Ronadhino amekasirishwa sana na kitendo cha kaka yake na amesema hatatia mguu kwenye harusi yake. Ndugu wa kina dada hao wanaoolewa nao pia wamekasirishwa na vitendo vyao, na mmoja amesikitishwa hadi kusema kuwa dada yake amefikia hatari ya kufukuzwa kazi kutokana na uamuzi wake. Ronaldinho ambaye anataka kuingia kwenye siasa, juzi alikuwa Brasilia ambako, wasaidizi wake wamemwambia mitala inaweza kuathiri ni yake ya kisiasa

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako