• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Will Smith ajiandaa kutoa wimbo wa kombe la dunia 2018

  (GMT+08:00) 2018-05-25 08:44:36

  Msanii nyota wa Marekani Will Smith anajiandaa kutoa wimbo kwa ajili ya kombe la dunia. Smith anatarajiwa kuytoa wimbo huo leo, na hii imethibitishwa kwenye post yake ya Instagram yenye maneno "one life to Live. Live it up # World cup". Sio desturi kwa wimbo wa kombe la dunia kutolewa kabla ya kombe la dunia kuanza, kwa kawaida huwa ni mwanzo au mwisho wa fainali hizo. Bado haijulikani wimbo huo utakuwa katika mahadhi gani, hasa ikizingatiwa kuwa wanamuziki wa kufokafoka hawajawahi kutoa nyimbo rasmi za kombe la dunia.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako