• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ripoti ya IAEA yaonesha Iran inatekeleza makubaliano ya nyuklia

    (GMT+08:00) 2018-05-25 09:17:53

    Ripoti iliyotolewa na Shirika la kimataifa la nishati ya atomiki IAEA inaonesha kuwa Iran bado inaendelea kutekeleza makubaliano ya nyuklia JCPOA baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano hayo. Ripoti inasema IAEA inasimamia mpango wa nyuklia wa Iran chini ya makubaliano hayo, na hakuna dalili zinazoonesha kuwa Iran inakiuka makubaliano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako