• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la Seneti la Marekani lapitisha sera mpya dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia bungeni

    (GMT+08:00) 2018-05-25 09:18:40

    Baraza la seneti la Marekani limepitisha sera mpya ya kushughukilia tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wabunge kwa kura za sauti. Sera hiyo imefuta muda wa siku tisini zinazohitajika sasa kwa wahanga wa unyanyasaji wa kijinsia kusubiri utatuzi, na inawataka wabunge wote, wakiwemo waliokuwa maseneta, kuilipa wizara ya fedha malipo yote ya utatuzi yanayohusiana na unyanyasaji wa kijinsi waliotenda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako