• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Cuba yakamilisha kazi ya kutambua miili ya wahanga wa ajali ya ndege

    (GMT+08:00) 2018-05-28 08:56:51

    Taasisi ya uchunguzi wa kimatibabu wa kisheria ya Cuba imetangaza kuwa kazi ya kutambua miili ya wahanga wote 110 wa ajali ya ndege, imemalizika. Mapema Ijumaa mwanamke mmoja aliyenusurika ajali hiyo alifariki dunia kutokana na majeraha makubwa aliyopata kwenye ajali, na kuifanya idadi ya vifo kwenye ajali hiyo ifikie 112.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako