• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya ndio mabingwa Afrika mwaka 2018

    (GMT+08:00) 2018-05-28 10:10:51

    Timu ya taifa ya Kenya ya wanawake ya mchezo wa Raga imetwaa ubingwa wa Afrika baada ya kushinda mechi ya fainali dhidi ya Uganda kwa alama 27-9 mjini Gaborone nchini Botswana.

    Kenya walifika fainali baada ya kushinda mechi zote za hatua ya awali, kwa kushinda mechi zote za hatua ya makundi, na kwenye mechi ya nusu fainali ikaifunga Madagascar kwa alama 42-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako