• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia inafungua sekta ya mawasiliano kwa ushindani mdogo

    (GMT+08:00) 2018-05-28 19:54:59

    Serikali ya Ethiopia imekubali kuruhusu makampuni fulani ya ndani kutoa huduma za mtandao, hatua inayoonekana kama ushindana na upanuzi wa soko la data, viongozi wasema.

    Ethio Telecom ina wateja zaidi ya milioni 16 wa huduma za mtandao katika nchi ya watu zaidi ya milioni 100.

    Inatengeneza zaidi ya dola bilioni 1 katika mapato yake ya miezi tisa ya kwanza ya 2017/18, asilimia 70 ya ambayo ilitokana na huduma za simu na asilimia 18 kutoka kwa mtandao.

    Mtandao wa chini na ubora duni wa huduma hiyo, nchini Ethiopia mara nyingi uvuta biashara na kuonekana kama kizuizi kwa kuanza kwa teknolojia kama zile ambazo zimewezesha nchi jirani Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako