• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yafanya mazungumzo na Japan kuhusu Korea Kaskazini

    (GMT+08:00) 2018-05-29 09:58:48

    Rais Donald Trump wa Marekani na waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu, kujadili mkutano unaotarajiwa kufanyika kati ya rais Trump na kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.

    Kwenye mazungumzo yao, viongozi hao wawili wamekubaliana kudumisha uratibu wa karibu na kuonana kabla ya mkutano kati ya Trump na Kim uliopangwa kufanyika tarehe 12, Juni nchini Singapore.

    Rais Trump Jumapili alithibitisha kuwa timu ya maofisa wa Marekani imewasili Korea Kaskazini kwa ajili ya kujadili maandalizi ya mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako