• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa watengeneza picha na video zinazoeleza mchango wa China katika majukumu ya kulinda amani

    (GMT+08:00) 2018-05-29 10:05:47

    Mwaka huu imetimia miaka 70 tangu Umoja wa Mataifa uanzishe majukumu ya kulinda amani, na miaka 38 tangu China ijiunge na majukumu hayo. Hivi karibuni Umoja wa Mataifa umetengeneza picha na video kwa lugha 6 rasmi za umoja huo, Kiswahili na Kireno, kueleza mchango wa China katika majukumu ya kulinda amani, jinsi askari wa China wanavyotekeleza majukumu hayo, na jinsi China inavyotekeleza wajibu wake ikiwa ni nchi kubwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako