• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Karate: Wachezaji 23 watunikiwa vyeti na leseni za kimataifa

    (GMT+08:00) 2018-05-29 10:10:22

    Wachezaji 23 wamekabidhiwa vyeti na leseni za kimataifa za kucheza, kuendesha na kufundisha mchezo wa karate baada ya kufaulu mitihani iliyofanyika nchini Tanzania.

    Katibu Mtendaji wa Taasisi ya karate-Tanzania, Nestory Fedeliko amesema mitihani hiyo ilifanyika mwaka jana kwa awamu tatu tofauti na ilishirikisha wachezaji kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Zambia, Angola na Ufaransa.

    Wachezaji hao pia watakuwa msaada kwa timu zao zitakazoshiriki michuano ijayo ya Olimpiki itakayofanyika 2020 nchini Japan, ikiwa ni mara ya kwanza kwa mchezo huo kujumuishwa na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako