• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:China kufanya maonyesho ya viwanda mwezi Ujao jijini Nairobi

    (GMT+08:00) 2018-05-29 18:51:26

    Mashirika kadhaa kutoka China yataaanda maonyesho ya kibiashara sekta ya viwanda jijini Nairobi Mwezi ujao.

    Kwa maelezo ya waandalizi,wawekezaji hao wa sekta ya viwanda wanataka kujenga uhusiano maalum na wateja wa Kenya .

    Baadhi ya kampuni zitakazoleta bidhaa zao ni pamoja na zile za umeme,ujenzi,maji ,fanicha na mazingira.

    Michelle Meyrick afisa mkuu wa mauzo ya maonyesho hayo,lengo lao kuu ni kuweka jukwaa la soko la rahisi la bidhaa za viwanda kutoka Kenya pamoja na kuanzisha mikataba ya ushirikiano wa biashara baina ya pande hizo mbili.

    Zaidi ya mashirika 400 ya biashara yatashiriki maonyesho hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako