• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yasema hatua mpya ya Marekani ni kinyume na makubaliano kuhusu biashara

    (GMT+08:00) 2018-05-30 09:16:15

    Wizara ya biashara ya China imesema taarifa ya kimkakati iliyotolewa na Ikulu ya Marekani inakwenda kinyume na mwafaka uliofikiwa kati ya pande mbili mjini Washington. Wizara hiyo imesema taarifa hiyo haikutarajiwa, lakini pia imo kwenye makadirio, na kusisitiza kwamba bila kujali hatua yoyote itakayochukuliwa na Marekani, China ina imani, uwezo na uzoefu wa kulinda maslahi ya taifa na ya wananchi wake. Wizara hiyo pia inaitaka Marekani kutenda kwa mujibu wa makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya nchi mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako