• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya Taifa ya Kenya imepanda kwa viwango vya Ubora duniani

    (GMT+08:00) 2018-05-30 10:50:41

    Baada ya kuwashinda Uganda kwa alama 34-16 kwenye michuano ya kombe la Elgon mjini Kampala, timu ya taifa ya Kenya imepanda katika msimamo wa viwango vya ubora duniani.

    Kenya sasa imepanda kutoka nafasi ya 30 hadi 28, katika msimamo wa ubora wa mchezo huo duniani.

    Wakati Kenya ikipanda, Uganda wao wameporomoka kwa nafasi mbili kutoka nafasi ya 35 waliyoshikilia hapo awali hadi nafasi ya 37.

    Kenya na Uganda zitashiriki kwenye michuano ya kombe la Afrika la Raga inayotarajiwa kuanza ramsi mwezi ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako