• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwanaridaha wa Kenya leo anatafuta medali nyingine nchini Italia

    (GMT+08:00) 2018-05-31 08:30:54
    Bingwa wa michezo ya Commonwealth Mita 800 Wycliffe Kinyamal leo anateremka dimbani Rome Golden Gala nchini Italia, akitaka kuweka medali nyingine kibindoni. Akiwa bado ana joto la ushindi wa michezo ya Jumuiya ya madola mwezi uliopita, na ushindi wa diamond League mjini Shanghai Mei 12, Kinyamal atatumia fursa ya leo kuondoa uchungu wa kumaliza katika nafasi ya tatu jumamosi iliyopita huko Eugene Marekani. Kinyamal pia alitimuliwa vumbi na mkenya mwenzake Emmanuel Korir aliyepaa nafasi ya pili.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako