• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:China kushirikiana na benki ya Equity

    (GMT+08:00) 2018-05-31 18:56:46

    Kampuni ya Equity Group Holdings ya Kenya inayosimimia benki ya biashara itashirikiana na shirika la kimataifa la uhandisi la China National technology engineering coporation kutoka mikopo kwa watu katika nchi za Kenya,Uganda,Rwanda,Sudan Kusini ,DRC na Tanzania.

    Gao Binsheng mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo ,amesema wanaendeleza juhudi za ushirikiano baina yao na nchi za Afrika ili kuchangia katika ukuwaji wa Uchumi na maendeleo ya jamii.

    Wakati huo huo zaidi ya abiria 120,000 wamesafiri kufika Guangzhou China na kuja Nairobi tangu mwaka 2015 .

    Meneja wa shirika la ndege ya China Souther Airlines amesema ,wazazi kutoka Kenya wamesafirisha watoto wao kutembea jiji hilo kiutalii ,pamoja na wachina kuzuru Kenya katika kambi za utalii.

    Wizara ya utalii inalenga kupata asilimia 10 tu ya watalii kutoka China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako