• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kamati kuu ya CPC yaweka mpango kuhusu kustawisha vijiji na kuondoa umaskini

    (GMT+08:00) 2018-05-31 19:33:15

    Ofisi ya siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China imekutana leo chini ya Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China Xi Jinping, ambapo imekagua na kujadili Mpango wa mkakati wa kustawisha vijiji na Mwongozo wa kupata mafanikio katika operesheni ya kuondoa umaskini kwa miaka mitatu.

    Mkutano huo umesema, China itaharakisha kuhimiza utandawazi wa kisasa wa kilimo na vijiji, kustawisha vijiji kwa kushikilia njia ya ujamaa wenye umaalumu wa China.

    Vilevile mkutano huo umesema, katika miaka mitatu ijayo, bado kuna watu milioni 30 vijijini wanaohitajika kuondoka kwa umaskini, hivyo ni lazima kuboresha mazingira ya maendeleo ya sehemu zenye matatizo ya kiuchumi, na kuzisaidia kupunguza umaskini kwa sera nafuu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako