• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mchezaji wa Zamani wa Chelsea Frank Lampard achaguliwa kuwa Kocha wa klabu ya Derby County

    (GMT+08:00) 2018-06-01 09:45:24

    Kiungo wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya England, Frank Lampard ametangazwa rasmi kama Kocha Mkuu wa klabu ya Derby County inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Uingereza. Frank Lampard mwenye umri wa miaka 39, amejiunga na timu hiyo baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu akirithi mikoba ya Gary Rowett aliyetimkia Stoke City. Lampard amerudi Uingereza baada ya kumaliza soka yake nchini Marekani, na kwenye kibarua chake kipya atasaidiwa na aliyekuwa kocha wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 18 ya Chelsea, Jody Morris

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako