• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serena Williams apata ushindi kwenye French Open

    (GMT+08:00) 2018-06-01 09:49:25

    Mcheza tennis nguli wa Marekani Serena William amepata ushindi katika mchezo dhidi ya Ashleigh Barty, uliochezwa mjini Paris. Mchezo wa seti tatu ilimazilika kwa 3-6, 6 -3, 6-4. Licha ya ushindi huo, watazamaji wa French open ambao wengi wao ni waungwana, walisikika mara kwa mara wa wakisema "ahhhhhh" wakionyweshwa kutoridhishwa na kiwango cha Serena, ambaye anarudi dimbani kwenye mechi za ushindani miezi kadhaa baada ya kujifungua. Mambo yakienda vizuri kuna uwezekano akakutana katika hatua ya 16 za mwisho dhidi ya Maria Sharapova, ambaye alikuwa nje ya dimba kwa muda mrefu kutumia adhabu ya matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako