• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kupunguza ushuru kwa aina 1,449 za bidhaa za matumizi ya kila siku

    (GMT+08:00) 2018-06-01 09:51:43

    Kamati ya ushuru ya Baraza la Serikali ya China imetoa taarifa ikisema, kuanzia tarehe mosi Julai China itapunguza ushuru wa forodha kwa aina 1,449 za bidhaa za matumizi ya kila siku, kutoka kwa nchi zilizopo kwenye mpango wa upendeleo MFN,

    Taarifa imesema kwa wastani ushuru huo umepunguzwa kwa asilimia 55.9.

    Ushuru kwa nchi zilizopo kwenye mpango wa MFN ni ushuru ambao nchi wanachama wa Shirika la Biashara Duniani WTO wanaahidi kuutoza kwa washirika wao wote wa biashara ambao pia ni nchi wanachama wa shirika hilo, isipokuwa nchi hiyo ni sehemu ya makubaliano ya biashara yenye upendeleo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako