• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wahamiaji 46 wafariki baada ya boti kuzama pwani ya Tunisia

    (GMT+08:00) 2018-06-04 08:55:01

    Wizara ya ulinzi ya Tunisia imesema idadi ya wahamiaji haramu waliofariki dunia baada ya boti yao kuzama pwani ya kusini mashariki mwa Tunisia jana, imefikia 46. Kwa mujibu wa wizara hiyo, mpaka sasa watu 75 wameokolewa, wakiwamo raia 60 wa Tunisia, watano kutoka Kusini mwa Sahara, raia wawili wa Morocco na mmoja kutoka Libya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako