• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Bunge la Taifa kurudi kwa vikao vyake na lengo kuu ni majadiliano ya bajeti

    (GMT+08:00) 2018-06-04 20:31:00

    Bunge la Taifa latarajiwa kurudi kwa vikao vyake siku ya Jumanne baada ya likizo ya mwezi mmoja na lengo kuu ni majadiliano ya bajeti ya 2018/2019.

    Waziri wa fedha, Henry Rotich mnamo juni 14 anatarajiwa kutangazia Bunge la Taifa hatua zake za kuongeza mapato katika mwaka wa fedha 2018/2019.

    Kiongozi wengi Bungeni Aden Duale amesema wamekubaliana na Mkurugenzi kutoa rasilimali zaidi kwa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma, Utawala wa Upelelezi wa Mauaji ya Kimbari, Tume ya Maadili na Kupambana na ufisadi na Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu ili kuimarisha vita juu ya ufisadi.

    Bajeti liyopendekezwa yatarajiwa kuwekwa bungeni siku ya Jumatano ili wabunge Wajadilie wiki nzima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako