• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wahamiaji 58 wafariki dunia baada ya boti yao kuzama pwani ya Tunisia

    (GMT+08:00) 2018-06-05 08:54:03

    Msemaji wa wizara ya mambo ya ndani ya Tunisia Bw. Khalifa Chibani amesema idadi ya wahamiaji haramu waliofariki dunia baada ya boti yao kuzama kwenye pwani ya kusini mashariki mwa Tunisia mapema Jumapili, imefikia 58. Bw. Chibani amesema wahanga ni pamoja na raia 31 wa Tunisia, wageni 22 na wengine waliobaki bado hawajatambuliwa. Mpaka sasa vikosi vya ulinzi wa pwani vya Tunisia vimefanikiwa kuwaokoa wahamiaji 68, wakiwemo raia 60 wa Tunisia na wageni 8.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako