• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya vifo kutokana mlipuko wa volkano Guatemala yafikia 33

    (GMT+08:00) 2018-06-05 08:54:21

    Idara ya uratibu wa maafa ya Guatemala CONRED imesema idadi ya vifo kutokana mlipuko wa volkano uliotokea jumapili karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, imefikia 33. Kwa mujibu wa idara hiyo, watu zaidi ya elfu tatu wamehamishwa, na watu zaidi ya milioni 1.7 wameathiriwa kutokana na mlipuko huo, ambao idara hiyo inautaja kuwa ni mkubwa zaidi katika miaka ya karibuni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako