• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Matokeo ya Kitabibu: Golikipa wa Liverpool hakuwa sawa kiafya kwenye mechi ya fainali dhidi ya Real Madrid

    (GMT+08:00) 2018-06-05 09:54:03
    Matokeo ya utafiti wa kitaalam yanaonyesha kuwa, kutofanya vizuri kwa golikipa wa Liverpool Loris Karius kwenye mechi ya fainali ya klabu bingwa Ulaya dhidi Real Madrid kulisababishwa na tatizo la gafla la uoni hafifu kufuatia sehemu ya utambuzi kwenye ubongo wake kupunguza kasi ya utoaji taarifa.

    Matokeo hayo yametolewa na madaktari bingwa wa mfumo wa fahamu wa Hospitali ya Massachusets mjini Boston nchini Marekani ambako Karius alipelekwa kutokana na ushauri wa madaktari wa timu ya Liverpool.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako