• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwenyekiti mteule wa UNGA aahidi kuongeza uwazi na kupanua upatikanaji wa huduma za UN

    (GMT+08:00) 2018-06-06 09:31:38

    Mwenyekiti mteule wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa Bibi Maria Fernanda Espinosa ameahidi kuifanya kazi ya Umoja wa mataifa iwe na uwazi zaidi na ipatikane kwa urahisi zaidi kwa umma. Akikutana na wanahabari baada ya kuchaguliwa kuchukua wadhifa huo, Bibi Espinosa amesema huu ni wakati kuufanya Umoja wa Mataifa uwe karibu zaidi na watu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako