• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Museveni apiga marufuku mifuko ya plastiki

    (GMT+08:00) 2018-06-06 19:44:07

    Rais Yoweri Kaguta Museveni ameungana na Kenya na Rwanda kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa ajili ya kuhifadhi mazingira.

    Museveni amesema kwa sasa ni aina maalum ya plastiki itakayoidhinishwa kutumiwa kabla ya kusitishwa kabisa.

    Agizo hili linajiri siku ya kimataifa ya mazingira ambapo wafanyibiashara wa viwanda,usambazaji na mauzo wamepigwa marufuku.

    Halmashauri ya mazingira nchini Uganda imeapa kuanza utekelezaji wa amri hiyo mara moja huku viwanda zaidi ya 40 vikilengwa kufungwa.

    Kauli mbiu ya siku ya mazingira mwaka huu ni kumaliza matumizi ya plastiki kabisa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako