• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nigeria yaendelea kufanya vibaya mechi za kirafiki kabla ya Kombe la dunia

    (GMT+08:00) 2018-06-07 09:04:15
    Kwenye medani ya kimataifa, nikianza na baadhi ya mechi za kirafiki zilizochezwa jana, Ubelgiji walitikisa nyavu mara tatu dhidi ya Egypt wakituma salama kwa England ambao wako kwenye kundi moja kwenye mechi za kombe la dunia, Nigeria wameendelea kutia hofu baada ya kudungwa sindano moja na Jamhuri ya Czech. Mechi hizo zinaendelea tena leo, ambapo England inakutana na Costa Rica, Ureno inacheza na Algeria. Kesho itakuwa ni Ujerumani na Saudi Arabia, na Polanda itacheza na Chile.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako