• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wahamiaji 46 wafa maji pwani ya Yemen

    (GMT+08:00) 2018-06-07 09:29:45

    Shirika la uhamiaji la kimataifa IOM limesema jumla ya wahamiaji 46 wamekufa maji katika pwani ya Yemen, wakati wakijaribu kuvuka bahari kutoka Pembe ya Afrika kwenda Yemen na Eneo la Ghuba kutafuta ajira. Taarifa iliyotolewa jana na IOM inasema wafanyakazi wake wako kwenye eneo la tukio kutoa misaada kwa watu walionusurika, na wamethibitisha kuwa kati ya wahanga, kuna wanaume 37 na wanawake 9, na wengine 16 bado hawajulikani walipo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako