• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 99 wafariki katika mlipuko wa volkano Guatemala

    (GMT+08:00) 2018-06-07 10:36:36

    Taasisi ya sayansi za kutafuta ushahidi ya taifa ya Guatemala imesema idadi ya vifo kutokana na mlipuko wa volkano ya Fuego imeongezeka na kufikia 99 baada ya miili mitatu zaidi kupatikana jana. Mlipuko huo mkubwa ulitokea Jumapili, na hadi kufikia Jumanne watu karibu 200 walikuwa hawajulikani walipo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako