• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:Sekta ya uchukuzi wa umma yapandisha nauli

    (GMT+08:00) 2018-06-07 20:20:27

    Ongezeko la bei ya magari nchini Uganda imechangia sekta ya uchukuzi nchini kupanisha nauli.

    Maelezo ya wiki hii kutoka kwa shirika la takwimu nchini humo yanaonyesha kwamba bei ya magari imeongezwa kwa asilimia 9.4 mwaka huu.

    Kwa mujibu wa Chris Mukiza, mtaalamu wa sekta ya uchukuzi ya Uganda ni kwamba ongezeko hilo pamoja na kupanda kwa bei ya mafuta na mfumko wa uchumi wa jumla Uganda zimesababisha wahudumu kuongeza nauli ya sekta ya uchukuzi.

    Uganda imeandikisha mfumko wa uchumi wa juu zaidi mwezi Mei.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako