• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuwachagua wajumbe watano wapya wa Baraza la Usalama

    (GMT+08:00) 2018-06-08 09:52:18

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo litawachagua wajumbe watano wapya wa Baraza la Usalama, ambapo Indonesia na Maldives zitawania kiti kimoja kwa kundi la Asia na Pasifiki, na Ubelgiji na Ujerumani kutoka kundi la nchi za Ulaya Magharibi na sehemu nyingine, Jamhuri ya Dominica kutoka kundi la Latin Amerika na Caribean na Afrika Kusini kutoka Afrika zitawania nafasi nne bila changamoto. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lina wajumbe 15, ambapo kati ya hao watano ni wajumbe wa kudumu na 10 ni wajumbe wasio wa kudumu, wanachaguliwa kwa vipindi vya miaka miwili miwili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako