• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Eneo la kujiendeleza kiuchumi na kiteknolojia mjini Korla, mkoani Xinjiang lahimiza mageuzi ya eneo la kawaida la viwanda

    (GMT+08:00) 2018-06-08 10:26:40

    Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la kujiendeleza kiuchumi na kiteknolojia la Korla, lililoko katika mji unaojiendeleza wa kabila la wamongolia wa Bayingolin, mkoani Xinjiang, linajitahidi kuhimiza maendeleo ya viwanda vya mtandao wa Internet, Big Data, na Cloud Computing, juu ya msingi wa kushirikisha viwanda vya uzalishaji kwa kina, kutilia mkazo katika kuendeleza "mtandao wa Internet na viwanda vya uzalishaji", na kuwa mbele nchini kote katika kujenga eneo la kujiendeleza kwa kutegemea mtandao wa Internet.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako