• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serikali ya Kenya yazindua mpango televisheni za digitali vijijini

  (GMT+08:00) 2018-06-08 10:58:41

  Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (ICT) na Serikali ya China wamezindua mradi wa televisheni ya digitali ambayo inalenga vijiji 10,000 katika nchi za Afrika. Mradi huu, utavifanya vijiji 800 nchini Kenya kunufaika na matangazo ya televisheni kwa njia ya Setilaiti ya bila malipo. kaunti 47 nchini kote zinatarajia kuunganishwa na huduma za televisheni za setilaiti.

  Hii moja ya mipango kumi ya ushirikiano iliyotangazwa wakati wa Mkutano wa 6 wa Baraza la Mawaziri katika Mkutano wa Ushirikiano wa China na Afrika (FOCAC) mwaka 2015 huko, Johannesburg Afrika Kusini, na Rais wa China Xi Jinping.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako