• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Moto mkubwa watokea katika maghala ya kuhifadhia masanduku ya kura Baghdad

    (GMT+08:00) 2018-06-11 08:50:29

    Moto mkubwa umeibuka kwenye maghala ya kuhifadhia masanduku ya kura ya uchaguzi wa wabunge mjini Baghdad. Chanzo cha habari kutoka wizara ya mambo ya ndani ya Iraq kinasema tukio hilo limetokea jana alasiri katika maghala ya Tume ya uchaguzi yaliyoko kwenye eneo la Gailani, ambayo yanahifadhi masanduku ya kura na vifaa vya kuhesabu kura. Masanduku hayo ya kura ni sehemu ya kura zinazotakiwa kuhesabiwa upya, baada ya bunge la Iraq kupitisha uamuzi wa kuhesabu upya kura zote za uchaguzi huo wa Mei 12, kutokana na tuhuma za udanganyifu na ukiukaji wa kanuni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako