• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa wafuatilia shambulizi la anga jimboni Idlib, Syria

    (GMT+08:00) 2018-06-11 18:26:20

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema anafuatilia sana vifo na majeruhi ya watu kutokana na shambulizi la anga katika wilaya ya Zardana, jimboni Idlib, Syria.

    Bw. Guterres ametaka uchunguzi wa kina ufanyike kuhusu shambulizi hilo na kuwafikishwa wahusika wa shambulizi hilo mbele ya vyombo vya sheria.

    Ametoa wito kwa pande zote zinazohusika kusimamisha vita mara moja na kuzihimiza kufuata sheria ya haki ya binadamu na kulinda usalama na miundo mbinu ya umma.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako