• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Watu 12 wauawa katika shambulizi la kujitoa mhanga nchini Afghanistan

  (GMT+08:00) 2018-06-11 19:57:47

  Watu 12 wameuawa na wengine 31 kujeruhiwa baada ya mtu mmoja aliyevaa mabomu kujilipua kwenye geti la Wizara ya Manedeleo na Ukarabati Vijijini magharibi mwa Kabul, mji mkuu wa Afghanistan hii leo.

  Mlipuko huo umetokea leo asubuhi wakati wafanyakazi walipokuwa wanatoka kazini kwa kuwa wafanyakazi serikalini wanatoka kazini mapema wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

  Hakuna kundi lililokiri kuhusika na shambulizi hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako