• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ndege iliyobuniwa na kutengenezwa na China yaingia kwenye soko la Afrika

  (GMT+08:00) 2018-06-11 20:40:07

  Ndege ya kwanza kubuniwa na kutengenezwa China LE500 imemaliza kwa mafanikio safari yake ya kwanza nchini Afrika Kusini.

  Shirikisho la Safari za Anga la China (AVIC) limesema, ndege hizo, zilizopewa jina la Little Eagle 500, zimefanya kwa mafanikio safari zao za kwanza katika kituo cha mafunzo ya marubani kilichoko nchini Afrika Kusini. Hii ni mara ya kwanza kwa ndege iliyobuniwa na kutengenezwa China kuingia kwenye soko la Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako