• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mateka waachiwa na mtekaji akamatwa Ufaransa

  (GMT+08:00) 2018-06-13 09:45:20

  Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa Bw. Gerard Collomb ametangaza kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa mwanaume aliyewateka nyara watu wawili jana mjini Paris amekamatwa, na mateka wameachiwa salama. Kwa mujibu wa televisheni moja ya Ufaransa, mtekaji ambaye ni mazliwa wa Morocco mwenye umri zaidi ya miaka 20, alitumia kisu kuwateka watu wawili ndani ya jengo moja mjini Paris. Habari zinasema inawezekana kuwa mteka nyara huyo ana matatizo ya akili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako