• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • FIFA Kupigia kura mwandaaji wa michuano ya mwaka 2026

  (GMT+08:00) 2018-06-13 09:45:30

  Leo ni siku ambayo wajumbe wa FIFA wanapiga kura kuamua timu itakayoandaa michuano ya kombe la dunia kwa mwaka 2026.

  FIFA inafanya mkutano wake mkuu wa 68 leo mjini Moscow ambapo wajumbe wote wa nchi wanachama wanahudhuria, ambapo wanatarajiwa kupitisha baadhi ya maazimio kwa kupiga kura, na moja ya ni kupigia kura mwandaaji wa kombe la dunia mwaka 2026.

  Nchi zinazowania nafasi hiyo ni Morocco, Mexico, Marekani na Canada.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako