• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • UM wahimiza mbinu shirikishi za kukuza maendeleo katika kukabiliana na itikadi kali barani Afrika

  (GMT+08:00) 2018-06-13 10:02:53

  Ripoti iliyotolewa na Shirika la maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP inayotoa wito wa kuhimiza mbinu shirikishi za kukuza maendeleo katika kukabiliana na itikadi kali barani Afrika.

  Ripoti hiyo iliyozinduliwa jana huko Addis Ababa, inasema siasa kali ni changamoto kubwa inayoikabili Afrika, na imesababisha vifo vya watu zaidi ya elfu 33 kati ya mwaka 2011 na 2016 wengine mamilioni kukimbia makazi, na kuharibu uchumi hali ambayo imesababisha msukosuko wa kibinadamu katika bara hilo.

  Kwa mujibu wa ripoti hiyo, tathmini mpya juu ya hatua za usimamizi za serikali zinazolenga kulinda usalama zinahitajika kwa haraka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako