• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mshauri mwandamizi wa kisiasa wa China akamilisha ziara nchini Jamhuri ya Kongo

    (GMT+08:00) 2018-06-14 09:15:33

    Mwenyekiti wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la China Bw. Wang Yang amefanya ziara rasmi nchini Jamhuri ya Kongo kuanzia Jumatatu hadi Jamatano wiki hii, kwa lengo la kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Kwenye ziara yake, Bw. Wang Yang alikutana na rais Denis Nguesso, ambapo amefikisha salamu za rais Xi Jinping wa China, na kusema rais Xi anatarajia kubadilishana maoni kwa kina na rais Nguesso kwenye mkutano wa kilele wa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika utakaofanyika mwezi Septemba hapa Beijing. Bw. Wang amesema China inapenda kuendeleza ushirikiano na Jamhuri ya Kongo kwenye pendekezo la "Ukanda mmoja, Njia moja", ili kujenga Jumuiya ya China na Afrika yenye hatma ya pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako