• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi za SCO zafanya tamasha la soko la filamu na kuonyesha mazao ya maendeleo ya filamu

    (GMT+08:00) 2018-06-16 19:23:46

    Kama kipindi kikuu muhimu cha tamasha la Filamu la kimataifa la shirika la ushirikiano la Shanghai (SCO), tamasha la Soko la Filamu la nchi za SCO limefanyika tarehe 14 hadi 15 mwezi Juni mjini Qingdao. Makampuni 25 ya filamu za nchi za SCO yameonyesha filamu zao za kitaifa.

    Wakati huohuo, zaidi ya watu 300 katika sekta ya filamu ya nchi za SCO wametembelea, kujadiliana na kufanya biashara, kuimarisha urafiki na kupata mazao ya ushirikiano. Watazamaji wa filamu wamesema kuwa kipindi cha "Soko la Filamu" katika tamasha la Filamu la kimaTaifa la SCO kimepata hatua mpya ya maingiliano ya kubadilishana filamu za kitaifa za SCO, ambacho kinahimiza soko la filamu kufapa mafanikio ya pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako