• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Naibu spika wa bunge la China afanya ziara nchini Marekani

    (GMT+08:00) 2018-06-17 16:52:12

    Kutokana na mwaliko wa bunge la Marekani, naibu spika wa bunge la umma la China Bw. Wang Chen aliongoza ujumbe wa bunge la umma la China kufanya ziara nchini Marekani kuanzia tarehe 13 hadi 16.

    Kwenye mkutano na wajumbe wa bunge la Marekani, Bw. Wang Chen ameeleza misimamo ya China kwenye uchumi na biashara, haki miliki za ujuzi, na utungaji wa sheria husika. Amezitaka China na Marekina zitatue vizuri migongano kati yao. Amezitaka nchi hizo mbili ziheshimiane, kufanya ushirikiano na kupata maendeleo ya pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako