• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Van Duque achaguliwa kuwa rais mpya wa Colombia

    (GMT+08:00) 2018-06-18 16:53:56

    Matokeo ya awali asilimia 99.87 ya kura zilizohesabiwa za uchaguzi mkuu nchini Colombia yameonesha kuwa, mgombea kutoka chama cha Democratic Center Bw. Ivan Duque ameshinda kwenye duru ya pili ya uchaguzi wa urais, na kuwa rais mpya wa nchi hiyo.

    Takwimu zinaonesha kuwa, Bw, Duque amepata asilimia 53.97 ya kura, na mpinzani wake Bw. Gustavo Petro kutoka chama cha Humane Colombia movement amepata asilimia 41.81 ya kura.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako