• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya ulinzi ya Marekani yasitisha mpango wa mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Korea Kusini

    (GMT+08:00) 2018-06-19 08:51:07

    Wizara ya ulinzi ya Marekani imetangaza kusitisha mpango wa mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Korea Kusini yaliyopangwa kufanyika mwezi Agosti. Msemaji wa wizara hiyo Bibi Dana White amesema uamuzi huo unalingana na ahadi ya rais Donald Trump, aliyotoa wakati alipokutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong Un wiki iliyopita nchini Singapore.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako